Mfululizo wa Maelezo ya Biblia


Kanisa la Biblia Publishers

Agano la Kale Lasema

Mfululizo wa vitabu 10 ambavyo vinaeleza mistari yote ya Agano la Kale
Don Fleming

Maelezo ya Biblia katika vitabu 15 Mwandishi Don Fleming aliandika kwanza vitabu 5 vinavyoeleza Agano Jipya yaani “Agano Jipya Lasema” kisha alitoa vitabu 10 “Agano la Kale Lasema”. Sifa za vitabu hivyo vinapatakana kutoka watu wa mataifa mengi kwamba vinafaa watu wa aina na hali tofauti.
 1. Mwanzo - Kutoka; kurasa 131
 2. Mambo ya Walawi - Kumbukumbu; kurasa 134
 3. Yoshua - 2 Samweli; kurasa 118
 4. 1 Wafalme - Esta; kurasa 168
 5. Zaburi; kurasa 122
 6. Ayubu, Mithali - Wimbo Ulio Bora; kurasa 117
 7. Isaya; kurasa 101
 8. Yeremia, Maombolezo; kurasa 96
 9. Ezekieli, Danieli; kurasa 120
 10. Hosea - Malaki; kurasa 131
Kanisa la Biblia Publishers

Agano la Jipya Lasema

Mfululizo wa vitabu 10 ambavyo vinaeleza mistari yote ya Agano la Jipya
Don Fleming
 1. Injili Nne (Mt, Mk, Lk, Yn), kurasa 177
 2. Matendo ya Mitume; kurasa 119
 3. Warumi - Wakorintho; kurasa 94
 4. Wagalatia - Filemoni; kurasa 108
 5. Waebrania - Ufunuo; kurasa 134
Kanisa la Biblia Publishers

Agano la Kale na Jipya Lasema

Agano la Kale na Jipya Lasema, vitabu vyote 15 (Set nzima)
Vitabu hivyo vinafanana na Ufafanuzi wa “Biblia Inasema”
 

Wasiliana nasi

Kanisa la Biblia Publishers
P.O.Box 1424, Dodoma
Tanzania

Phone: +255 (0) 26 2354 500
Mobile: +255 (0) 713 609166
Email: contact@klb-publishers.org

Location: Dodoma, Ipagala,
Eneo la Emmaus, off Dar Road

Washiriki wetu