Don Fleming ni nani basi?
Don Fleming ana uzoefu mkubwa wa kuanzisha makanisa na kufundisha Biblia kwa njia rahisi katika nchi yake ya Australia na katika nchi mbalimbali barani Asia, Afrika, Ulaya na Pasifiki. Anajulikana sana kwa uwezo wake wa kueleza Maandiko ya Biblia kwa maneno machache na rahisi. Anaeleza Biblia kwa njia ya kuandika vitabu na kuhubiri. Ameandika vitabu zaidi ya thelathini, baadhi yake vikiwa na maelezo ya Biblia "Kamusi ya Biblia", "Biblia Ijieleze yenyewe" pamoja na vitabu vidogo vitano vyenye "Mafundisho ya msingi kuhusu Ukristo". Maandiko yake yametafsiriwa katika lugha zaidi ya thelathini.
 

Wasiliana nasi

Kanisa la Biblia Publishers
P.O.Box 1424, Dodoma
Tanzania

Phone: +255 (0) 26 2354 500
Mobile: +255 (0) 713 609166
Email: contact@klb-publishers.org

Location: Dodoma, Ipagala,
Eneo la Emmaus, off Dar Road

Washiriki wetu