Downloads

Kitabu: Msamaha Wa Dhambi Na Hakikisho La Amani Na Mungu

Kijitabu hiki kilitungwa hasa na mapambo kutoka kwa kile kitabu maarufu “Pardon and Assurance” cha Wm J. Patton wa Dromara, Co. Down, N.Ireland.

Kitabu: Nitawezaje kuingia mbinguni?

Watu wengi hulikwepa swali la milele. Twaona hayo hata kwa wale ambao hufikiria hatima yao. Kitabu hiki kina maelezo kama unaweza kuingia mbinguni.

Bango ya Njia Mbili

Bango ya Njia Mbili na Hatima Mbili. Hapo unaweza kuelezea rahisi njia ya kufika mbinguni.

Njia Mbili na Hatima Mbili

Mistari hii inaeleza maana ya picha ya Njia Mbili na Hatima Mbili.

Bango ya Silaha za Mungu

Mtume Paulo anatuambia "Vaeni Sialaha za Mungu" lakini maana yake nini?
Kwa njia ya bango hili unaweza kuelewa na kuelezea Silaha za Mungu.

Mpangilio wa kujisomea Biblia

Orodha ya somo la Biblia la mwaka mzima. Je uliwahi kusoma Biblia nzima kwa mfululizo? Jiunge na mpangilio huo wa kusoma Biblia katika muda wa mwaka mmoja. Utasoma sura 3 au 4 kila siku ya mwaka mpaka utakapomaliza kusoma kitabu cha Ufunuo mwezi wa 12.

Kuchunguza Maandiko Matakatifu

Hii ni kozi ya kwanza ya Emmaus Shule ya Biblia. Soma vizuri kisha rudisha mtihani kwetu kwa njia ya posta.


Orodha ya vitabu


 

Wasiliana nasi

Kanisa la Biblia Publishers
P.O.Box 1424, Dodoma
Tanzania

Phone: +255 (0) 26 2354 500
Mobile: +255 (0) 713 609166
Email: contact@klb-publishers.org

Location: Dodoma, Ipagala,
Eneo la Emmaus, off Dar Road

Washiriki wetu