Kanda na CD za Muziki

Kanisa la Biblia Publishers

Maji kwa Nchi kavu

Audio Tape
Dr Andreas Bauer alikuwa daktari katika Hospitali ya Mbesa. Yeye na mke wake Andrea wanatunga nyimbo zao kufuatana na mistari ya Biblia. Anayesikia nyimbo za hao Wajerumani wakiimba Kiswahili anapokea faraja na ujumbe kutoka kwa Mungu.
 • Furahini katika Bwana. Flp 4:4-7
 • Bwana Ndiye Mchungaji Zab 23
 • Upendo wa Mungu
 • Mkono wa Mungu Isa 59:1-2
 • Maneno yako Zab 19:10
 • Nitaimwagilia maji Isa 44:3
 • Yesu anipenda
 • Mwimbieni Bwana
 • Bwana asifiwe Zab 138

Kanisa la Biblia Publishers

Mwanga wa Ulimwengu

Audio Tape
Dr Andreas Bauer alikuwa daktari katika Hospitali ya Mbesa. Yeye na mke wake Andrea wanatunga nyimbo zao kufuatana na mistari ya Biblia. Anayesikia nyimbo za hao Wajerumani wakiimba Kiswahili anapokea faraja na ujumbe kutoka kwa Mungu.
 • Tumshukuru Mungu
 • Mwanga wa Ulimwengu
 • Dhambi inatutenga na Mungu
 • Walipomsulibisha Mwokozi Isa 53:2-6
 • Mungu aliupenda ulimwengu Yoh 3:16
 • Shikeni uzima wa milele 2 Tim 1:12
 • Nigeukieni mimi Isa 45
 • Waisikia sauti yangi
 • Njoni kwangu Matth 11:28-29
 • Bwana Yesu twakuabudu
 • Twende tumfuate Yesu
Pakua nyimbo kwa bure:
"Walipomsulibisha Mwokozi" - Download MP3 (1 MB)
Kanisa la Biblia Publishers

Sifa kwa Mungu

Audio Tape
“Hazina ya Mungu” ni kukundi cha muziki wa sifa kutoka Kanisa la Biblia Mbesa, Ruvuma, Tanzania. Jina la kikundi “Hazina ya Mungu” linatokana na Malaki 3:17.

Wanaimba sauti za asili kutoka maeneo mbalimbali ya Tanzania na wanatumia ala za asili za muziki.

Tunauza sasa "Sifa kwa Mungu" katika Music CDpia! Nyimbo zenye zinapatikana sasa katika kanda za muziki (Audio Tape) na Audio CD pia.
 • 1. Sifa kwa Mungu – Kingoni
 • 2. Utukufu kwa Mungu – Kiyao / Kimakua
 • 3. Mungu wetu uliye mbinguni – Kiyao
 • 4. Ee Bwana utufundishe – Kigogo
 • 5. Njoni tumwimbie – Kitanzania
 • 6. Yesu anatupenda – Kingoni
 • 7. Mungu tunakusifu – Kiyao
 • 8. Mfanyeni Bwana shangwe – Kigogo
Kanisa la Biblia Publishers

Sifa kwa Mungu

CD
“Hazina ya Mungu” ni kukundi cha muziki wa sifa kutoka Kanisa la Biblia Mbesa, Ruvuma, Tanzania. Jina la kikundi “Hazina ya Mungu” linatokana na Malaki 3:17.

Wanaimba sauti za asili kutoka maeneo mbalimbali ya Tanzania na wanatumia ala za asili za muziki.
 • 1. Sifa kwa Mungu – Kingoni
 • 2. Utukufu kwa Mungu – Kiyao / Kimakua
 • 3. Mungu wetu uliye mbinguni – Kiyao
 • 4. Ee Bwana utufundishe – Kigogo
 • 5. Njoni tumwimbie – Kitanzania
 • 6. Yesu anatupenda – Kingoni
 • 7. Mungu tunakusifu – Kiyao
 • 8. Mfanyeni Bwana shangwe – Kigogo
 
Wasiliana nasi

Kanisa la Biblia Publishers
P.O.Box 1424, Dodoma
Tanzania

Phone: +255 (0) 26 2354 500
Mobile: +255 (0) 713 609166
Email: contact@klb-publishers.org

Location: Dodoma, Ipagala,
Eneo la Emmaus, off Dar Road

Washiriki wetu